Karibu katika Tovuti ya Mkoa wa Dodoma, Mkoa ambao ndio Makao Makuu ya nchi ya Tanzania, Mkoa huu vilevile ni Makao Makuu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makao Makuu ya Chama Tawala CCM. Aidha, Mkoa wa Dodoma kwa sasa ndio Mkoa Mama wa Vyuo Vikuu na vyuo vya Elimu ya Juu, una chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki na Kati – Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). na Mkoa wa Manyara, Mashariki umepakana na Mkoa wa Morogoro, Kusini umepakana na Mkoa wa Iringa na Magharibi umepakana na Mkoa wa Singida.
Tovuti hii ya Mkoa wa Dodoma inamilikiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Katika tovuti hii utapata taarifa mbalimbali za shughuli zifanywazo na ofisi pamoja na taarifa za Mkoa wa Dodoma kwa ujumla.
Barabara ya Nyerere
Anuani ya Posta: 914 Dododma
Simu: +255 26 232 4343/232
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.